tunakuchimbulia mpaka mwisho

MMHHH...!! HUYU MSANII ANA MATATIZO GANI...?? TAZAMA PICHA ALIYOPIGA NA ANACHOKIFANYA, NI AIBU TUPU..

No comments


Huyu ni mwanamuziki toka nchini Nigeria aitwaye Maheeda, ni mmoja kati ya wanamuziki wasioisha na vituko. Kimtindo ni mwehu na hakika hatoacha wehu wake. Hebu angalia picha zake akiwa anafanya mambo yake bafuni.....

Angalia picha zaidi hapo chini....


No comments :

Post a Comment