tunakuchimbulia mpaka mwisho

MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU

No comments
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo hayo kumchukua.

No comments :

Post a Comment