tunakuchimbulia mpaka mwisho

10 PICHAZ: KUFURU YA MASHABIKI WA SOKA WA KENYA, KUVUA NGUO, KUFANYA ZINAA HADHARANI NI KAWAIDA KWAO TIMU YAO IKISHINDA!

No comments
Kenya kila siku kuna mambo na sintaacha kukuletea story zao kali kutoka huko mara ninapo ziona, hii ni nyingine jinsi wanavyoshangalia mpira wakiwa uwanjani. 
Tumezoea kuona hapa kwetu Bongo tukishangilia tunaimba nyimbo za kijeli na kufanya vichekesho vya kawaida kabisa lakin kenya imepitiliza huwa wanavua mpaka nguo kabisa kukojoa hadharani kabisa bado kuna wale wengine kupigana mabusu hadharani na wengine kufanya kama tendo la ndoa hadharani ila bila ya kuonyesha nyeti zao 
 
Hizi ni baadhi ya picha katika moja ya mechi ambazo zinachezwa huko nchini kenya baada ya kushida huwa inakuwa hizi enjoy 
 


 

 
 

No comments :

Post a Comment