tunakuchimbulia mpaka mwisho

MWILI WA AISHA MADINDA WAZIKWA MAKABURI YA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

No comments
 
Mwili wa Aisha Madinda ukishushwa kaburini.
 
Maziko yakiendelea.
Waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la Aisha Madinda.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Aisha Madinda kuelekea makaburini.
Waombolezaji wakiwa makaburini.
 HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda umezikwa jioni hii katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar wamejitokeza na kuhudhuria maziko ya msanii huyo aliyefariki dunia juzi.
 Mungu ailaze roho ya marehemu AISHA MADINDA mahali pema peponi. AMEN

No comments :

Post a Comment